Chadema yazindua kampeni kwa ‘chopa’

Chadema yazindua kampeni kwa ‘chopa’

Kumbe wanaamini CCM bado ni tishio arusha tofauti na ambavyo wamekuwa wakijinadi kuwa hata wakisimamisha jiwe litashinda tu

Jiw mbona zuri.. Arusha hata wakisimamisha kinyesii kinashinda
 
Kila siku mnajisifu humu jf kuwa arusha hakuna ccm,sasa hizi gharama zote za nini? Si mgeweka jiwe na likashinda bila hata kutumia shilingi
 
MaCcm Arusha Muisahau kabisaaaaaaaa...
Bora apewe Jibwa yanayozunguka apo jijini kilikoni Ccm
Ccm ni Janga
 
Unadhani wasipotumia helikopta wanawezaje kuviona vituo hewa vya kupigia kura magamba mnavyojenga kwenye miti mirefu, ha ha ha
 
Back
Top Bottom