CHADEMA yazidi kuzama; Diwani kata ya Namichiga, Ruangwa Bwana Ndute ajiuzulu na kujiunga CCM

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,076
4,113
Diwani kutoka chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kata ya namichiga, wilayani Ruangwa mkoani Lindi Bwana. Mikidadi Ibadi Mbute amejiuzulu nafasi yake na kutangaza kujiunga na CCM baada ya kuridhishwa na kasi ya Mh.Rais Dkt.John Pombe Magufuli.

Pia Bakari Hamisi Mpanya maarufu kama Selenge aliyekuwa diwani wa kata ya Nachingwea akitokea chama cha CUF,amejiunga na CCM na kusema ameridhishwa na kasi ya mbunge wa Ruangwa Kassim Majaliw

Diwani.png
 
Ndugu wanaJF, kile kimbunga cha hamahama ya Madiwani wa Upinzani kimetua Mkoani Lindi ambapo leo hii Diwani kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Kata ya Namichiga, Wilayani Ruangwa, Mikidadi Ibadi Mbute amejiuzulu nafasi yake na kutangaza kujiunga na CCM baada ya kuridhishwa na kasi ya Rais Magufuli na Wziri Mkuu, Kassim Majaliwa
 
[HASHTAG]#AlipoTupo[/HASHTAG] soon atakuwa CCM hivyo wahini siti!
 
Mkuu hao madiwani bado hawajaisha tu? Basi inaoenaka walikuwa wengi sana. Nje ya mada, hivi bado kampeni za uchaguzi wa marudio bado zinaendelea, au uchaguzi umeshafanyika? Nimeona kimya kiasi sijui nini kinaendelea.
 
Hawaoni ata aibu ya kukosa Dawa hospitalini kwa ajili ya kurudia uchaguzi kwa sababu wanajiuzulu; punda ni punda tu yaani tunakatwa kodi nyingi kwa ajili ya maendeleo wao wanazipotezq kwa kujiuzulu.

Wao waliona wapi hapa duniani kwa viongozi waliochaguliwa na wananchi wanajiuzuli kwa sababu ya kumuunga mkono kiongozi flani?
 
2015 Chadema iliteua Mgombea Urais toka Chama tawala
Mgombea mwenza akatoka CUF bab Duni

Wagombea Udiwani na Ubunge wanaonunulika kirahisi sana!
Mbowe Sasa atupe jibu la swali la Dk Slaa, Is Lowassa an Asset or Liability?
 
Diwani kutoka chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kata ya namichiga, wilayani Ruangwa mkoani Lindi Bwana. Mikidadi Ibadi Mbute amejiuzulu nafasi yake na kutangaza kujiunga na CCM baada ya kuridhishwa na kasi ya Mh.Rais Dkt.John Pombe Magufuli.

Pia Bakari Hamisi Mpanya maarufu kama Selenge aliyekuwa diwani wa kata ya Nachingwea akitokea chama cha CUF,amejiunga na CCM na kusema ameridhishwa na kasi ya mbunge wa Ruangwa Kassim Majaliw

Huyu diwani bwana mkubali sana kwenye ile kata kuhama kwake ataondoka na wengi nadhani majaliwa kassimu majaliwa kafanya take
Jamaa mfuatiliaji sana wa shida za wananchi
Nilibahatika kufika pale wanamkubali mno
 
2015 Chadema iliteua Mgombea Urais toka Chama tawala
Mgombea mwenza akatoka CUF bab Duni

Wagombea Udiwani na Ubunge wanaonunulika kirahisi sana!
Mbowe Sasa atupe jibu la swali la Dk Slaa, Is Lowassa an Asset or Liability?
Magufuli ni asset au liability anatumia fedha za madftari watoto kuhonga madiwani hajiamini kinachofurahisha mchezo unamfurahisha yeye na kakundi kake ka wala rushwa wananchi ndio kama hawasikii
 
Kwani machadema yanajua sasa?

Yenyewe yanajadili tu rais hajaenda kwenye msiba wa mke wa kingunge
 
Magufuli ni asset au liability anatumia fedha za madftari watoto kuhonga madiwani hajiamini kinachofurahisha mchezo unamfurahisha yeye na kakundi kake ka wala rushwa wananchi ndio kama hawasikii

Is Lowassa an Asset or Liability?

Lipumba akili kubwa alikula Mgao akajikataa, akili za kuunga unga mkaenda kuchana mashati na kuyafanya madekio ya barabara
 
Back
Top Bottom