Hebu pitia takwimu fupi za CHADEMA
MWAKA1995 tulishinda Wabunge 4, madiwani 42.
Mwaka2000, tulishinda wabunge 5 madiwani 75.
Mwaka 2005 Wabunge 11 madiwani 103"
Mwaka 2010 Wabunge 48, Madiwani. 467.
itakua vp 2015 kama si kwenda IKULU? Mchango wako ni muhim sn kufanikisha CHADEMA kushika dola.