Hizo kata mwanzoni zilikuwa mikononi mwa nani?
Hizo kata mwanzoni zilikuwa mikononi mwa nani?
Usiwe mfinyu wa fikra kama mlijua za CCM mliingia ktk Uchaguzi kufanya nini ndio mnapeana matumaini mwaka 2015 mtakua mmechukua nchi na huku mnajua majimbo yote ya CCM na kata zote za CCM? Chadema ni hadi hapo chama kitapokua cha wanachama ndio kitakuwa na uwezo wa kushika dola kwa muundo huu CDM Zito,CDM Mbowe,CDM Slaa,CDM Lisu mtasubiri sana embe chini ya muarobaini na mtakoma kuringa.
Umekosea! Ccm ndiyo inaimaliza Chadema kata 27 imeambulia 3? Rip Chadema
Naona uko dunia ya giza na hujui kinachoendelea hapa duniani.cdm viti 8
Ktk hali inayodhihirisha kuimarika na kukubalika kwa cdm, ni kuchukua hadi sasa kata 8 za udiwani na kuonyesha kuwa ktk uchaguzi wowote cdm inazidi kuiangamiza ccm.
1) sombeteni
2)kiborolon
3)njombe
4)............
5)...........
6)...........
7)...........
8)..........
Naomba unijazie zilizobaki, zaidi ya hapo wewe ndiyo hujui kinachoendelea.
Kweli mashabiki wa CHADEMA hamuwezekani1.sombetini 2.kibololoni
3.njombe
4.moshi mjini
5.partimbo
6.lolera.
7.
8.
9. (kata 3 za dodoma)
Kweli mashabiki wa CHADEMA hamuwezekani
Mfalme wenu yuko UCHI mnamshabikia tu Peopoooooooooooooooooles Powerrrrrrrrrrrrrrr MBAVU SINA
4.moshi mjini
5.partimbo
6.lolera.
7.
8.
9. (kata 3 za dodoma)
Usiwe mfinyu wa fikra kama mlijua za CCM mliingia ktk Uchaguzi kufanya nini ndio mnapeana matumaini mwaka 2015 mtakua mmechukua nchi na huku mnajua majimbo yote ya CCM na kata zote za CCM? Chadema ni hadi hapo chama kitapokua cha wanachama ndio kitakuwa na uwezo wa kushika dola kwa muundo huu CDM Zito,CDM Mbowe,CDM Slaa,CDM Lisu mtasubiri sana embe chini ya muarobaini na mtakoma kuringa.
1.sombetini 2.kibololoni
3.njombe
4.moshi mjini
5.partimbo
6.lolera.
7.
8.
9. (kata 3 za dodoma)
Nimetoa jibu mbona watu wa magamba wameingia mitini?
Sasa ndio umeandika nini hapo?
1.sombetini 2.kibololoni
3.njombe
4.moshi mjini
5.partimbo
6.lolera.
7.
8.
9. (kata 3 za dodoma)