Umushoshoro
Senior Member
- Apr 15, 2008
- 121
- 39
Makapi yaliofukuzwa juzi na ccm.Halafu hao ni tayari wapo chadema toka 2015,walipoihujumu ccm,zilizobaki ni mbwembwe za kujipooza kisaikolojia tuWadau, amani iwe kwenu,
Nipo mjini Arusha pamoja na juhudi kubwa zinazofanywa na CCM kuvunja nguvu za CHADEMA kwa vitimbi vingi kwa kutumia nguvu za dola lakini 18.2.2017 CHADEMA mkoani inawapokea wanachama wapya 1235 kutoka vyama vingine. Lema yupo ndani lakini watanzania wengi bado wana imani naye.
Mungu mmbariki Mh. Lema na CHADEMA.
Huo ni mtaji nzuri sana. FISIEM[emoji196] huwa wanagawa wali alage kuwapata haoMakosa yale yale mnafanyaàaa.
Kama ni kweli hayo si yale makapi yalitemwa ccm juzi kwa kukosa maadili??
Yaaani nyinyi nikuokoteza tuuu jamani waende tuuu.
Ila kipigo cha umbwa mwizi midomo juu 2020 msije mkasema ccm wamewaibia kura sawa???
hayo ndo yale masaliti yaliyotimuliwa jana na CCM mkoa wa ArushaWadau, amani iwe kwenu,
Nipo mjini Arusha pamoja na juhudi kubwa zinazofanywa na CCM kuvunja nguvu za CHADEMA kwa vitimbi vingi kwa kutumia nguvu za dola lakini 18.2.2017 CHADEMA mkoani inawapokea wanachama wapya 1235 kutoka vyama vingine. Lema yupo ndani lakini watanzania wengi bado wana imani naye.
Mungu mmbariki Mh. Lema na CHADEMA.
Hadithi za abunuas tuu hizi, maneno mbwembwe haya jengi banaWadau, amani iwe kwenu,
Nipo mjini Arusha pamoja na juhudi kubwa zinazofanywa na CCM kuvunja nguvu za CHADEMA kwa vitimbi vingi kwa kutumia nguvu za dola lakini 18.2.2017 CHADEMA mkoani inawapokea wanachama wapya 1235 kutoka vyama vingine. Lema yupo ndani lakini watanzania wengi bado wana imani naye.
Mungu mmbariki Mh. Lema na CHADEMA.
CCM
ARusha haswa mjini na ARumeru
Kilimanjaro( Moshi) ndio bye bye....................... for good
Wadau, amani iwe kwenu,
Nipo mjini Arusha pamoja na juhudi kubwa zinazofanywa na CCM kuvunja nguvu za CHADEMA kwa vitimbi vingi kwa kutumia nguvu za dola lakini 18.2.2017 CHADEMA mkoani inawapokea wanachama wapya 1235 kutoka vyama vingine. Lema yupo ndani lakini watanzania wengi bado wana imani naye.
Mungu mmbariki Mh. Lema na CHADEMA.
Jana CCM (m) Arusha, ilitangaza kuwavua uwanachama elfu na Mia kadhaa kwa kukisaliti chama wakati wa uchaguzi. ..isije kuwa labda ni "makapi", au?Wadau, amani iwe kwenu,
Nipo mjini Arusha pamoja na juhudi kubwa zinazofanywa na CCM kuvunja nguvu za CHADEMA kwa vitimbi vingi kwa kutumia nguvu za dola lakini 18.2.2017 CHADEMA mkoani inawapokea wanachama wapya 1235 kutoka vyama vingine. Lema yupo ndani lakini watanzania wengi bado wana imani naye.
Mungu mmbariki Mh. Lema na CHADEMA.
Kazi sanaHawa jamaa Arusha waiache tuu. Hawapawezi pale
Mkuu taratibuu [emoji23][emoji23]ilimfauru sana,mjitenge kabisa tengenezeni Arusha iwe nchi..ilimkamirishe ukabila 100%
Wapya kwa kuzaliwa or?Wadau, amani iwe kwenu,