CHADEMA yazidi kuchanja mbuga Chalinze

CHADEMA yazidi kuchanja mbuga Chalinze

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
Kiongozi Mkuu wa kimila wa wamasai, Tikwa Moreto (kushoto), akiongozana na mgombea wa ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mathayo Torongey (kulia) na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho taifa, Issa Saidi Mohamed walipokwenda nyumabni kwake kwa jaili ya kuomba baraka zake
attachment.php

Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Miono wakiitikia kauli mbiu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ya "Peoples Power" wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Miono.

attachment.php

Kiiongozi wa kimila wa wamasai, Tikwa Moreto (aliyeketi), akishiriki kumwombea mgombea wa ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Dempkrasia na Maendeleo (Chadema), Mathayo Torongey (wa tatu kushoto), nyumabni kwa kiongozi huyo kijiji cha Gumba, Kibaha Vijijini.

attachment.php

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Issa Said Mohamed akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Miono, katika mkutano wa kampeni, uliofanyika kijijini hapo.
attachment.php
 
Attachments

  • Peoples Power Miono 1.jpg
    Peoples Power Miono 1.jpg
    105.3 KB · Views: 308
  • Peoples Power Miono 2..jpg
    Peoples Power Miono 2..jpg
    107.6 KB · Views: 970
  • Kumwombea mgombea.jpg
    Kumwombea mgombea.jpg
    111.7 KB · Views: 888
  • Makamu kuhutubia Miono.jpg
    Makamu kuhutubia Miono.jpg
    114.4 KB · Views: 887
  • Chifu na mgombea.jpg
    Chifu na mgombea.jpg
    122 KB · Views: 970
Muuza nini? mmmmmh! naona meno yako yamekuwa mengi unatafuta njia ya kuyapunguza bila ganzi.
 
Muwaulize wanaokuja kwenye mikutano yenu kama wamejiandikisha kupiga kura na kama wanaguts za kukipigia chama cha upinzani kura,vinginevyo .....
 
Muwaulize wanaokuja kwenye mikutano yenu kama wamejiandikisha kupiga kura na kama wanaguts za kukipigia chama cha upinzani kura,vinginevyo .....

mhimu ni elimu ya kujiandikisha hata mwakani siyo mbali...
 
mhimu ni elimu ya kujiandikisha hata mwakani siyo mbali...

Ni kweli mkuu,hata wakimpa yule mzungu wa "sembe" kwa kuhadaika na ahadi Ilezile za 50 yrs back mpaka mwakani watakuwa hawana hamu kwa jinsi vijana wao watakavyo ongezeka kwenye uteja. Hivyo 2010 watakuwa na maamuzi sahihi.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
hapa ni wapi mbonana sio mkutano wa cdm? kweli ujinga ni mzigo unaokota picha mitandaoni unaleta jukwaani kulaghai jamii halafu mnadai eti mmeanza na Mungu! huyu mungu wenu sjui...:tape: eneo ni lenyewe ila watu hawa wapo kwenye mkutano wa maombezi sio siasa.

hapo ni Miono .......mwaka mbaya huu....tumeamua kuwa onyesha Ikulu kuwa nasi tunaweza sio lazima wawe wagalatia tu....
 
Nimeanza kukosa imani na hizi threads za chaguzi ndogo.Kalenga tuliambiwa haya haya tofauti ya msindi na mshindwa ilikuwa kubwa mnooooooo.
 
Huyo Mathayo ana mtumbo mkubwa sana tayari inanipa mashaka na uwezo wake wa kufiri. Amenza kwenda kuomba baraka kwa wanadamu? hahahaha kweli CCM imewashika pabaya.
 
hapo ni Miono .......mwaka mbaya huu....tumeamua kuwa onyesha Ikulu kuwa nasi tunaweza sio lazima wawe wagalatia tu....

hahaha kwa hiyo Torongey siku hizi kaacha kampeni baada ya kukosa chopa anaudhulia mikutano ya maombezi? kweli cdm ni kazi
 
Huyo jamaa labda angegombea uenyekiti wa kijiji kidogo ingempendeza lakini kwa nafasi hiyo anadhalilika bure
 
hapa ni wapi mbonana sio mkutano wa cdm? kweli ujinga ni mzigo unaokota picha mitandaoni unaleta jukwaani kulaghai jamii halafu mnadai eti mmeanza na Mungu! huyu mungu wenu sjui...:tape: eneo ni lenyewe ila watu hawa wapo kwenye mkutano wa maombezi sio siasa.
attachment.php
tahira kama wewe huwezi kujua....
 
Nimeanza kukosa imani na hizi threads za chaguzi ndogo.Kalenga tuliambiwa haya haya tofauti ya msindi na mshindwa ilikuwa kubwa mnooooooo.

Mkuu ukifanya kosa moja matokeo yanageuzwa ndani ya siku moja....
 
Back
Top Bottom