Huyo Joachim Mbowe asije akawa ametumwa na mbowe!!i) Aliyekuwa mkurugenzi wa mafunzo CHADEMA Taifa, Loyce Giboma amejivua uanachama wa chama hicho na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi
ii) Mwenyekiti wa BAVICHA Wilaya ya HAI Ndugu Joachim Mbowe amejivua uanachama na nyadhifa zake zote ndani ya chama hicho na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi
#NyumbaniKumenoga
Kuhama kwake kunarudisha gesi Ccm walioiba nchini kwetu?i) Aliyekuwa mkurugenzi wa mafunzo CHADEMA Taifa, Loyce Giboma amejivua uanachama wa chama hicho na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi
ii) Mwenyekiti wa BAVICHA Wilaya ya HAI Ndugu Joachim Mbowe amejivua uanachama na nyadhifa zake zote ndani ya chama hicho na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi
#NyumbaniKumenoga
Umesema ukweli. Tuwatakie maisha mema huko waendako. Mimi mara zote ninaposikia mtu anatoka upinzani kwenda kwenye chama tawala, huwa naona uamzi huo kuwa chanya, na pindi wapatapo madaraka makubwa huko watasaidia kupanda mbegu ya "uvumilivu" kwa wanaccm kindaki ndaki. Mimi naamini waheshimiwa kama, Kafurila, . Patrobasi, Dr. Wilbroad Slaa, Mtatiro, Prof. Kitila Mkumbo, Manchari na wengine wengi hawezi kuwa wabaya kiasi cha kutaka mpinzani auwawe kwa sababu za kisiasa. Hilo hawatalishabikia achilia mbali kulifanya. Ninamshangaa sana Mhe. Waitara, kwa maana amebeba chuki na anajitahindi kupanda mbegu mbaya ili upinzani nchini upatilizwe na ufe!!Vyama vya siasa ni itikadi philosophy na sera ndo zinazo vuta wanachama kujiunga kwahiyo chama hakiwezi kufa kwajiri ya mwana chama kukuhama wakati itkadi ya chama iko palepale, hata hakihama Mbowe chama kitabaki na wanachama wapya wataibuka. Kuna mifuano mingi tu.
Maneno unayoyatumia hauutendei haki upinzani, ni uchokozi ambao unaweza kutuumiza sisi. Mbona tunayo mambo mengi ya kufanya na kusema ambayo yanaweza kutuvusha katika hali tete tuliyonayo?. Maneno aliyoyatumia Mhe. Rais nitafsida, hakutaka kujikweza. Angeweza kutumia " msimamo mkali, watu majasiri, wapambanaji, wababe" tuache kurukia maneno yasiokuwa na tija na ya siyosaidia kututoa hapa tulipo.Sasa kama huyo mchumia tumbo atakuwa mkurugenzi wa mafunzo Na Benson Kigaila atakuwa Nani Sasa?Hizi story za abunuwasi utazipata fisiem tu maana wapo vichaa wanajifurahisha wakiingozwa Na kichaa mkuu...
thruVyama vya siasa ni itikadi philosophy na sera ndo zinazo vuta wanachama kujiunga kwahiyo chama hakiwezi kufa kwajiri ya mwana chama kukuhama wakati itkadi ya chama iko palepale, hata hakihama Mbowe chama kitabaki na wanachama wapya wataibuka. Kuna mifuano mingi tu.
Nyie mbona mmeuza siku nyingi! Wazungu mmewapangia hotelini kwa ajili ya makanikia, mmeliwa hela,mchamga mmewapa na mmeshtakiwaChadema jiulizeni kwa nini?hata mkipewa Inch mtauza kama kweli mnanunuliwa na mnakubali
Mwandishi wa uzi huu yupo sahihi kuchagua upande. Serikali ya ccm inafanya kosa kubwa kwa kuamua kuua upinzani nchini. Madhara ya unaloshabikia yako njiani na mtayaona baadaye.i) Aliyekuwa mkurugenzi wa mafunzo CHADEMA Taifa, Loyce Giboma amejivua uanachama wa chama hicho na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi
ii) Mwenyekiti wa BAVICHA Wilaya ya HAI Ndugu Joachim Mbowe amejivua uanachama na nyadhifa zake zote ndani ya chama hicho na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi
#NyumbaniKumenoga