AlamaZA NYAKATI
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 274
- 30
Masaburi @ work!. Ss Mtwara tumepigika sana na Magamba. Kwa hiyo we are ready for anything the change. Long live M4c and Viva Chadema
Nasikia Mtwara nako kuna misikiti mingi sana kama Tanga na Uzini
Mmechemka, hii ni ngome ya CCM !!!!!! Tangu lini Mmakonde aolewe na Mchaga???
Mmechemka, hii ni ngome ya CCM !!!!!! Tangu lini Mmakonde aolewe na Mchaga???
mimi na wewe nani anazungumza urojo? Chadema haiwezi kukubalika Mtwara kamwe!
hayo maneno wanayoongea huko eti cdm inaongelewa huku, huyo MOLEMO ni muongo na mzandiki hakuna kitu kam hicho huku mtwara kuhusu CDM, majadiliano huku ni CUF jinsi gani watachukua majimbo yote ya kusini.
hawa jamaa wakibadilika basi , Tz inakombolewa , maana wanafikra mgando sana , ila poa najua M4C itawang'oa wote
Kwa nini unanitukana? Wewe ndiyo great thinker kweli? Mimi ndiyo nimetunga au nimetoa source? Mods please nilindeni
Hebu niambie Chadema inakojitamba nako kuna maendeleo gani??Mtwara walimzaa rais ben,
wamemzaa mama first lady,
lakini bado hakuna kitu,
kweli sasa 'CHAGUA CHADEMA CHAGUA MAENDELEO'.
Molemo hakuna tusi hapo mtu kukwambia muongo ni tusi?
Si mbona timeoa MMAKONDEMmechemka, hii ni ngome ya CCM !!!!!! Tangu lini Mmakonde aolewe na Mchaga???
Kwa sababu ya sumu ya udini alomwagwamimi na wewe nani anazungumza urojo? Chadema haiwezi kukubalika Mtwara kamwe!
Am getting things done through people!!Mkuu unafanya kazi saa ngapi?