trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 746
chadema kwa siasa maji taka, utawaona tu, hata ngombe watakwambia wapo chadema
Shame on you too foolish!!Mi sijapenda huo utangazaji wa wanachama waliohamia CDM kutoka CCM. Ni kama kukopi strtegy ya CCM. Sioni kama ni kitu cha kukifanya kuwa habari kwa kweli. Tena nilitaka kupita maana sikuona maana yeyote kwenye hii thread.. Ni upumbavu uliokithiri kuifanya hii kuwa habari..
Shame on him..
kamtafute mmeo akupe taarifa za kukufurasha....Mi sijapenda huo utangazaji wa wanachama waliohamia CDM kutoka CCM. Ni kama kukopi strtegy ya CCM. Sioni kama ni kitu cha kukifanya kuwa habari kwa kweli. Tena nilitaka kupita maana sikuona maana yeyote kwenye hii thread.. Ni upumbavu uliokithiri kuifanya hii kuwa habari..
Shame on him..
Mi sijapenda huo utangazaji wa wanachama waliohamia CDM kutoka CCM. Ni kama kukopi strtegy ya CCM. Sioni kama ni kitu cha kukifanya kuwa habari kwa kweli. Tena nilitaka kupita maana sikuona maana yeyote kwenye hii thread.. Ni upumbavu uliokithiri kuifanya hii kuwa habari..
Shame on him..
Duh huo ndio UMATI wa watu!!! Kha! Kweli ukipenda, hata chongo utasema ni kengeza!