CDM Arusha imeanza kubaini siasa si maandamano wala si Lema pekee yake.I hope hawa watoto si miongoni mwa wanachama wapya 960 ha ha ha ha ha ha ha.
Mkuu Ngongo,
Watu tisa ndio umati? Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
Mradi wa Sh40 Milioni? Hiyo pesa hata kisima kimoja huwezi kuchimba..
Chadema bana kila siku mnasema Arusha hakuna CCM ni Chadema tu sasa hao watu 960 wametoka wapi?
CCM kwa wizi hadi wapambe wake wanawaza kiwiziwizi, wangekuwa wao story ingekuwa ndefu, "ndugu mgeni rasmi kisima kimegharimi zaidi ya bilioni moja na nusu"Mradi wa Sh40 Milioni? Hiyo pesa hata kisima kimoja huwezi kuchimba..Chadema bana kila siku mnasema Arusha hakuna CCM ni Chadema tu sasa hao watu 960 wametoka wapi?
Afadhali chongo wa jicho kuliko chongo wa akili.Duh huo ndio UMATI wa watu!!! Kha! Kweli ukipenda, hata chongo utasema ni kengeza!
Achana nao hao umesahau Bagamoyo choo cha mil. 700, CDM inawafundisha jinsi ya kufanikisha miradi kwa gharama nafuu hadi wanashangaa.Si bure Ritz unamatatizo! Kisima kimoja ni kuanzia milioni tatu leo wewe milion 40 unasema hauwezi kuchimba hata kisima kimoja! Huko ni kujidhalilisha Ritz!
Mara kumi kununua wanachama kwa njia hii kuliko kuwanunulia kofia na ubwabwa wa siku moja.40Mil ukigawanya kwa 960 unapata 41666 na centi 67 duh very high price to buy wanachama
wale wale.........Mkuu Ngongo,
Watu tisa ndio umati? Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
Mkaguzi wa mahesabu ya serikali alipewa kazi ya kwenda kufatilia hii issue ilifikia wapi au imepotezewa?Achana nao hao umesahau Bagamoyo choo cha mil. 700, CDM inawafundisha jinsi ya kufanikisha miradi kwa gharama nafuu hadi wanashangaa.
Mradi wa Sh40 Milioni? Hiyo pesa hata kisima kimoja huwezi kuchimba..
Chadema bana kila siku mnasema Arusha hakuna CCM ni Chadema tu sasa hao watu 960 wametoka wapi?
Mradi wa Sh40 Milioni? Hiyo pesa hata kisima kimoja huwezi kuchimba..
Chadema bana kila siku mnasema Arusha hakuna CCM ni Chadema tu sasa hao watu 960 wametoka wapi?
wale wale.........
you are missing the point not because you have decided to do so, but because you actually dont have enough brain cells to help you understand stuff. Whatever you have in your head, helps you to read, write, eat, fart and poo.