CHADEMA yavuna 46,000 Kanda ya Juu Kusini - Mazao ya Maandamano

Donyongijape

JF-Expert Member
May 28, 2010
1,497
811
CHADEMA kimeweza kufanya mikutano ya hadhara,kutatua migogoro mbali mbali ya viongozi na wanachama, kutoa kadi mpya 46000 katika mikoa 6 ya nyanda za juu kusini kwa kutembelea majimbo yote 37 katika mikoa hiyo,kata 224 na vijiji 457. Haya yote yalifanywa kwa ushirikiano wa timu 6-8 ziizotawanyika kila mkoa na jimbo walilofika kwa mujibu wa mratibu wa operesheni hiyo ndg Benson Kigaila.

My take: wanamageuzi tujitolee kuichangia cdm kwa hali na malia i.e fedha,vitu etc itufungue minyororo ya ukoloni wa ccm
 
safi sana ni jambo la busara kutoa achievement za harakati ka hizo vipi hatuwezi pata data za movement ka hizo kanda ya ziwa na tabora? kazi nzuri bravo CHADEMA na hii isiihie hapa iendelee acha wenye chuki waseme na watasema sana mwaka huu. Ila sio mbaya coz maneno hata kwenye khanga yapo
 
Slaa na Mbowe Mungu wa Mbinguni ndio atakaye walipa,machozi yangu ni ulinzi na hakuna atakaye wagusa.
 
bravoooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
this is how we do kufikia mabadiliko ya utawala
 
Naichukulia mikutano ya Chadema kama Darasa la "URAIA" kwa watanzania. Hongereni kwa kazi nzuri ya kulifungua Macho Taifa. Waliowekeza kwa mtaji wa "wajinga ndio waliwao" watakosa pa kupita....
 
bravoooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
this is how we do kufikia mabadiliko ya utawala
Sijui mtalaumu vipi CCM kama nchi haitaenda vizuri.Mmehusika kukwamisha serikali ya CCM ifanye kazi yake ya kuendeleza nchi.Inaelekea hamjui maana ya kushinda uchaguzi ni nini.Uchaguzi ulishaisha October 2010.

Nyie na hao blood suckers hamwezi kuilaumu CCM uchaguzi ujao mmekataa kuheshimu deomokrasia kwa kuwashawishi watu kushiriki kwenye maandamano wakati wanatkiwa kufanya kazi ya uzalishaji hatimaye itajenga uchumi wa nchi.Na vilevile mmehusika kufanya watendaji kuichukia serikali iliyoingia madarakani kwa njia ya kura.Hayo yote mtalipa kwenye kampeni ijayo ya uchaguzi.
 
ndugu anayesema kuwa chadema wamewapotezea wananchi muda baadala ya kuzalisha na pia wamefanya waichukie serikali amekurupuka sana katika hoja yake kwa sababu chadema wakipita kuelimisha wananchi inaonekana noma lakini ccm noooooooooooooooooooo think
 
Chadema hongereni kwa kazi hii nzito.Hakikisheni kwenye vijiji/kata na majimbo yote mlikopita mnaacha pia ofisi na watu wa kuratibu kile mlichokianzisha, kwa kupitia ofisi hizi ndogo wapeni wananchi kile wanachokosa katika ofisi za serikali za kata, msiache moto huu upoe kwenye mioyo ya wananchi, na hao wanaobaki nyuma wajitahidi kushirikiana na wananchi kutatua yale matatizo mnayoyaweza bila kushika dola.Kwa mfano viongozi wenu wakitaifa au wabunge wakiongoza kampeni za usafi kwenye miji yao na hii ikashuka pia mpaka chini kwenye kata na mashina itasaidia kujenga chama zaidi lakini pia wananchi watanufaika, hivyohivyo kwenye sekta zingine kama kilimo,ulinzi,ajira kwa vijana, elimu etc
 
kumekucha, hiyo ni mikoa migumu nikiwa na maana kambi ya ccm kwa shuka hizi naona mti umeanguka
ndio maana kikwete haishi kulala kila siku eti chadema wanataka kumtoa magogoni

CHADEMA kimeweza kufanya mikutano ya hadhara,kutatua migogoro mbali mbali ya viongozi na wanachama, kutoa kadi mpya 46000 katika mikoa 6 ya nyanda za juu kusini kwa kutembelea majimbo yote 37 katika mikoa hiyo,kata 224 na vijiji 457. Haya yote yalifanywa kwa ushirikiano wa timu 6-8 ziizotawanyika kila mkoa na jimbo walilofika kwa mujibu wa mratibu wa operesheni hiyo ndg Benson Kigaila.

My take: wanamageuzi tujitolee kuichangia cdm kwa hali na malia i.e fedha,vitu etc itufungue minyororo ya ukoloni wa ccm
 
Sijui mtalaumu vipi CCM kama nchi haitaenda vizuri.Mmehusika kukwamisha serikali ya CCM ifanye kazi yake ya kuendeleza nchi.Inaelekea hamjui maana ya kushinda uchaguzi ni nini.Uchaguzi ulishaisha October 2010.

Nyie na hao blood suckers hamwezi kuilaumu CCM uchaguzi ujao mmekataa kuheshimu deomokrasia kwa kuwashawishi watu kushiriki kwenye maandamano wakati wanatkiwa kufanya kazi ya uzalishaji hatimaye itajenga uchumi wa nchi.Na vilevile mmehusikakufanya watendaji kuichukia serikali iliyoingia madarakani kwa njia ya kura.Hayo yote mtalipa
kwenye kampeni ijayo ya uchaguzi.

Mkuu uchaguzi uliopita ulikuwa oct 2010, kuna mwingine unakuja 2015. Mafisadi huu ndo wakati wao wa kushiba hadi 2014 watakapoanza kugawa pombe, kofia, khanga nk kwa raia lakini wazalendo wao wanaendelea na harakati za kulimboa taifa na wananchi kutoka kwenye dhuluma, dharau, uonevu na umaskini na unyanyaswaji
 
kwa waona mbali ni kwamba hiyo ndiyo style ya kuiua chadema, hapo wengi wanaojiunga ni ccm pandikizi wapo kazini then wote kwa makundi hivo hivo nchi nzima by any means watarejea ccm.wish you all the best katika kujiandalia kifo cha ukweli.
 
mikefe pole sana, ccm wameanza kutawala toka uhuru natokea wakati huo wameshindwa kutimiza yanayotakiwa na wananchi,kushindwa kwao leo kumesababishwa na chadema kutoa elimu ya uraia. please chadema hawawazuii kufanya kazi isipokuwa chadema wamewafundisha wananchi kujua maslahi yao.
 
Back
Top Bottom