ina maana huyu diwani ndo atawaletea umeme.atatatua shida zao?kesho tu akipata udiwani atawageuka.nyie chadema mkishashinda mkiulizwa ahadi mlizotoa mnasimgizia hamuwezi kutekeleza kwwa sababu hamna dola? hiyo ni danganya toto tu
Nina hamu kubwa sana ya kuisoma na kuifahamu katiba ya CDM nakuijua chadema zaidi. Maana hii movement yao sio ya kitoto kabisa.
Lengo No.1 ni Kuiondoa CCM Madarakani mengine yatafuata baadaye.
Na hizo zana za kilimo zitakuwa zile za Mangula tofauti na za Ubungo.Hapana hii habari si ya kweli kwasababu Chadema inakufa. Kama unabisha muulize
Steve Wassiri, Bro Nipe Naye, au Magulu Chamba. Chriss ex cop, sumu, tume, mwiba, msalani na wengineo wote sie hatuwezidanganya. Kazi aliyofanya Zana Za Kilimo(zzk) kuua hiki chama imefanikiwa.
Nina hamu kubwa sana ya kuisoma na kuifahamu katiba ya CDM nakuijua chadema zaidi. Maana hii movement yao sio ya kitoto kabisa.
Kushindwa kwetu mwikoCHADEMA ilisababisha shughuli kusimama kwa zaidi ya saa 3 katika Kata ya Tungi Morogoro wakati mgombea Udiwani wa Chama hicho Juma Tembo alipokuwa anachukua Fomu za kugombea Udiwani.
Mgombea huyo alisindikizwa kwa Msururu wa Pikipiki na Magari huku umati mkubwa wa watu ukiwa umejipanga kando kando ya barabara zote kumpungia mgombea huyo.Alipofika kwenye ofisi ya serikali mgombea huyo alikuta maelfu ya watu wakiwa wanamsubiri katika eneo hilo.
Akihojiwa baada ya kuchukua Fomu sababu ya kusindikizwa na Umati huo mgombea huyo Juma Tembo alisema hiyo ni kutokana na Imani kubwa wananchi waliyo nayo kwa CHADEMA.Mgombea huyo alisema ana uhakika mkubwa wa kushinda kiti hicho.
Source:Nipashe.
Magamba lazima yatage mwakahuu.Kushindwa kwetu mwiko
Nakuamini juma tembo,hongera sn,wananchi wa TUngi chagueni mabadiliko sasa,changanyeni vyama ktk. Baraza la madiwani ili kudhibiti ufisadi