CHADEMA Yatikisa Morogoro

CHADEMA Yatikisa Morogoro

Hapana hii habari si ya kweli kwasababu Chadema inakufa. Kama unabisha muulize
Steve Wassiri, Bro Nipe Naye, au Magulu Chamba. Chriss ex cop, sumu, tume, mwiba, msalani na wengineo wote sie hatuwezidanganya. Kazi aliyofanya Zana Za Kilimo(zzk) kuua hiki chama imefanikiwa.
 
Nina hamu kubwa sana ya kuisoma na kuifahamu katiba ya CDM nakuijua chadema zaidi. Maana hii movement yao sio ya kitoto kabisa.
 
ina maana huyu diwani ndo atawaletea umeme.atatatua shida zao?kesho tu akipata udiwani atawageuka.nyie chadema mkishashinda mkiulizwa ahadi mlizotoa mnasimgizia hamuwezi kutekeleza kwwa sababu hamna dola? hiyo ni danganya toto tu

Lengo No.1 ni Kuiondoa CCM Madarakani mengine yatafuata baadaye.
 
Nimefurahi hili la wananchi kusimama barabarani kumshika mikono yaani kweli wananchi wamebadirika n mabadiriko sio hadithi tena tale ambayo MACCm yalikuwa yanafanyiwa ndio wanayoyapata chadema heshima kubwa wanapewa
 
juma tembo ubunge umemshinda kule kwa kalogelesi ? Lakini sio mbaya amefanya mambo mengi cdm. wacha tumpoze na udiwani
 
Hapana hii habari si ya kweli kwasababu Chadema inakufa. Kama unabisha muulize
Steve Wassiri, Bro Nipe Naye, au Magulu Chamba. Chriss ex cop, sumu, tume, mwiba, msalani na wengineo wote sie hatuwezidanganya. Kazi aliyofanya Zana Za Kilimo(zzk) kuua hiki chama imefanikiwa.
Na hizo zana za kilimo zitakuwa zile za Mangula tofauti na za Ubungo.
 
CHADEMA ilisababisha shughuli kusimama kwa zaidi ya saa 3 katika Kata ya Tungi Morogoro wakati mgombea Udiwani wa Chama hicho Juma Tembo alipokuwa anachukua Fomu za kugombea Udiwani.

Mgombea huyo alisindikizwa kwa Msururu wa Pikipiki na Magari huku umati mkubwa wa watu ukiwa umejipanga kando kando ya barabara zote kumpungia mgombea huyo.Alipofika kwenye ofisi ya serikali mgombea huyo alikuta maelfu ya watu wakiwa wanamsubiri katika eneo hilo.

Akihojiwa baada ya kuchukua Fomu sababu ya kusindikizwa na Umati huo mgombea huyo Juma Tembo alisema hiyo ni kutokana na Imani kubwa wananchi waliyo nayo kwa CHADEMA.Mgombea huyo alisema ana uhakika mkubwa wa kushinda kiti hicho.

Source:Nipashe.
Kushindwa kwetu mwiko
 
Hivi lini wataboresha daftari la kupiga Kula maana
Toka uchaguzi wa 2005,10, sijawahi kupiga kura nilikuwa niko chuo au kazini mkoa tofauti na nilipojiandikishia naamini wakifubutu kuboresha tu CCM IMEKWISHA
 
Nakuamini juma tembo,hongera sn,wananchi wa TUngi chagueni mabadiliko sasa,changanyeni vyama ktk. Baraza la madiwani ili kudhibiti ufisadi
 
Nakuamini juma tembo,hongera sn,wananchi wa TUngi chagueni mabadiliko sasa,changanyeni vyama ktk. Baraza la madiwani ili kudhibiti ufisadi

Juma Tembo ni nguzo kuu ya Chadema na Wananchi Tungi.
 
Back
Top Bottom