Mkuu ebu toa ufafanuzi kuna limsukule limekuja na hbr za kua eti katekwa na kapigwa sana huyu mgombea wetu
Mkuu hizo ni Porojo za Magamba baada ya kuona wameshashindwa kabla ya kuanza kampeni.
Afande Sele alikuwepo kumpiga tafu?
Kwanini Jaji Damiani Lubavu hutaki kuboresha daftari la wapiga kura tuizike CCM mchana kweupe?!
Watu wa Tungi wanateseka sana hawajawahi kuona matunda ya Uhuru. Umeme mradi umekwisha lakini Tanesco wameshindwa kuwaunganishia wananchi meta hadi rushwa itendeke. maji ni bidhaa adimu. ni vema wakaamua kufanya maamuzi ya kupata mchapa kazi au kuendelea na shida zao.