CHADEMA ilisababisha shughuli kusimama kwa zaidi ya saa 3 katika Kata ya Tungi Morogoro wakati mgombea Udiwani wa Chama hicho Juma Tembo alipokuwa anachukua Fomu za kugombea Udiwani.
Mgombea huyo alisindikizwa kwa Msururu wa Pikipiki na Magari huku umati mkubwa wa watu ukiwa umejipanga kando kando ya barabara zote kumpungia mgombea huyo.Alipofika kwenye ofisi ya serikali mgombea huyo alikuta maelfu ya watu wakiwa wanamsubiri katika eneo hilo.
Akihojiwa baada ya kuchukua Fomu sababu ya kusindikizwa na Umati huo mgombea huyo Juma Tembo alisema hiyo ni kutokana na Imani kubwa wananchi waliyo nayo kwa CHADEMA.Mgombea huyo alisema ana uhakika mkubwa wa kushinda kiti hicho.
Source:Nipashe.