CHADEMA yatikisa iramba magharibi leo

CHADEMA yatikisa iramba magharibi leo

Agnes Nasania

Member
Joined
Sep 12, 2013
Posts
16
Reaction score
2
Chadema imetikisa leo kwenye mkutano mkubwa uliofanyika ktk kata ya SHELUI iramba magharibi kijiji cha NSELEMBWE kitongoji cha makiki songambele.
 
Inapendeza sana na yule mrusha mabomu kutoka china yuko wapi naona Kinana hamtaki kwenye ziara zake
 
Kwa post za siku hizi ukileta post ya mkutano wa hadhara bila picha halafu unasema yatikisa mi nakuona mwehu.
 
Viongozi wa wilaya na kata wafanya mabadiliko makubwa. Wananchi wajiunga na chadema kwa wingi. Wengine warudisha kadi za mafisadi ccm
 
Songeni Mbele makamanda mpaka Taifa jipya lizaliwe,MUNGU awatangilie!!!!
 
Inapendeza sana na yule mrusha mabomu kutoka china yuko wapi naona Kinana hamtaki kwenye ziara zake

Yeah mzinzi mwigulu na mzee wa tembo hawaivi kabisaaa plus nepi.kamanda jesca kishoa atamuuwa kwa presha.
 
Unajua hizi nguvu za CDM sasa hivi si za kitoto...zamani ulikuwa ukisika mikutano mjini tu sasa hivi mikutano maporini....si mchezo
 
Haya ni maneno tu ila ukweli unafahamika hilo jimbo chadema hata muimbe vipi hamuwezi kulipata
 
Si..si..si..simnaona mziki wa CHEDEMA kuuzima hamtouweza....si..si..simnaona.....
 
Well done makamanda, wanaopinga habari hii tulieni, tutajuana tu.
Taratibu mtaona ccm ikifa Iramba.
 
Back
Top Bottom