CHADEMA yatikisa Arusha Mjini

Hapo Arusha sehemu nyingi zilizokuwa za wazi kwa ajili ya mikutano ya kisiasa na mukusanyiko mingine ilizufingwa kwa ajili ya kuwakomoa cdm, na ushahidi upo.
Acha uongo wadanganye wasioijua Arusha.
 
Ukweli mtupu.
 
Maridhiano ni ya vyama vyote vya upinzani siyo CDM pekee acha kudanganya.
Cdm hawahitaji hayo maridhiano, maana maridhiano ya kweli yalitakiwa kabla ya uchaguzi, na ccm waligoma ili wapore kwanza uchaguzi, kisha wakishapata madaraka ndio waitishe maridhiano ili kutopata pressure ya kutawala. Kisha ukifika uchaguzi mwingine wanapora halafu wanaitisha maridhiano. Ujinga huo fanyeni na hivyo vyama matawi yenu.
 
Basi subirini 2030 ili msusie tena! 🤣
 
Yaani Arusha ina maajabu gani kwenye kufahamika hadi niwadanganye wasioijua?
Maana yangu ni kuwa Arusha open space ziko kibao za kuweza kufanyia mikutano siyo kwenda kusumbua watu sokoni.
 
Mkutano unafanyika sokoni then unasema umejaa!! Watu wameenda kununua mahitaji kwanini hamkwenda kufanya mkutano wenu kwenye viwanja vya wazi? CDM kwisha habari zenu.
Umeona kuna mtu kashika fungu la matembele hapo?
 
Basi subirini 2030 ili msusie tena! 🤣
Safari hii uchaguzi utafanyika kwa heshima, labda muwafute cdm, maana ikisemekana hakuna uchaguzi bila mazingira ya haki ni kweli hautafanyika. Na safari hii mtiti utaanza siku moja kabla ya uchaguzi. Uoga una mwisho boss.
 
Maana yangu ni kuwa Arusha open space ziko kibao za kuweza kufanyia mikutano siyo kwenda kusumbua watu sokoni.
Zitaje, waliotoa kibali cha kufanya hapo sokoni wanajua ni sehemu sahihi.
 
Safari hii uchaguzi utafanyika kwa heshima, labda muwafute cdm, maana ikisemekana hakuna uchaguzi bila mazingira ya haki ni kweli hautafanyika. Na safari hii mtiti utaanza siku moja kabla ya uchaguzi. Uoga una mwisho boss.
Hata mwaka jana ulikuwa unaandika hivyo tu lakini hata hukusogeza pua ungekuwa historia tu kwa sasa.
 
Hata mwaka jana ulikuwa unaandika hivyo tu lakini hata hukusogeza pua ungekuwa historia tu kwa sasa.
Unajua nilippokuwa? Ama unadhani kila mtu aliuliwa kwa maagizo ya huyo muhuni wa kizimkazi?
 
Vinaitwa viwanja vya soko kuu, siyo ndani ya solo, ushamba wa mwanjelwa
Hakuna viwanja vya soko kuu Arusha bali kuna mitaa kama ilivyo kariakoo acha uongo wewe bibi.
 
CCM ndiyo chama pekee kilichotegemeo.

Hakuna mwenye akili anaweza kwenda kwenye Chama Cha Mauaji, labda uwe shetani au mfuasi mwaminifu wa shetani. Mtu anayejua thamani ya uhai wa mwanadamu mwingine, kamwe hawezi kuisogelea CCM.
Siku moja nilikuwa na mbunge wa CCM, akawa anasema kwamba kwa hali ilivyo sasa hawezi kuvaa nguo ya CCM maana watu watakuona ni muuaji au unaunga mkono mauaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…