Dah! We jamaa utakuwa unavuta mpunga mrefu toka L.mumba kwa hii kazi unayoifanya jf
Hapa Kazi Tu.
Dah! We jamaa utakuwa unavuta mpunga mrefu toka L.mumba kwa hii kazi unayoifanya jf
Mr chin endelea kuwatoa povu wavimbe wapasuke
Mtei kanuna haswa
Ongezea na lawrance Masha hapo kwenye pichaMbona mna act kama mwanamke alieondoka kwa bwana na mbwembwe na kashfa nyingi kumbe bado anampenda?
VIVA UKAWA!!!