Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,092
- 103,575
I am not a juha, tuna katiba nzuri sana TZ, na haifuatwi, mnafanyaje nyie wakuu kuhakikisha hii katiba iliyopo inafuatwa? Makelele tuu mitandaoni, follow up nothing
Tulia ww bendera fuata upepo. Kama katiba iliyopo ni nzuri na haifuatwi, nenda mahakamani kahakikishe inafuatwa, huko ndio utajua ni katiba nzuri au mbaya. Ww huwezi kufanya follow up, au kuna mtu umemuagiza akusaidie kufuatilia?