Nikikumbuka kipindi kile tulichoambiwa tukienda kupiga kula tuwe na pen zetu coz tukitumia peni zao kwa upande wa upinzani kula zinafutika..
basi kwenye foleni ya kupiga kula kila mtu utakuta kashika peni yake..
Naikitokea mtu kakuomba pen ili akapigie kula ni lazima humpe coz unajua huyu ni mwenzangu..
Sasa watu hao ambao walikuwa wanaenda na pen zao na ndo hao ambao wameamuwa kuto enda kupiga kula coz kula zao haziendi kwa wausika..
Hapo ndo naona ni jinsi gani vituo vya kupigia kula vitakosa wapiga kula..