CHADEMA yapigwa Marufuku kufanya maandamano Morogoro......

Huyu Dc ni kama yule wa Dom aliyese wanachuo wakirudishwa chuoni warudishwe wa ccm tu wachadema wafukuzwe.
Nina mashaka na bongo za hawa ma Dc. Hv kigezo kikuu cha uteuz wa ma Dc ni kipi jamani?!hawa hovyo kabisaaaa!
 
 


Huyu Mzee anachekesha kweli. Sijui ni kigezo ganani anatumia kusema kwamba maandamano ya peoples! Hayana tija. Au alitaka kila baada ya maandamano zigawanywe kadi kwa wanachama wapya wa chama cha magamba??
 
Ni wapi katika katiba imeonyeshwa kufanya maandamano ni haki inayohodhiwa na kuwadi wa CCM awe Mwambungu, Kingalu, Nondo au mwingine yeyote? Hicho cheo cha Ukuu wa wilaya kimeainishwa wapi na kazi zake zinafafanuliwa wapi katika katiba?
Hawa ni wajinga na wafu kisiasa na wanapaswa kupuuzwa na kurudishwa shule au kupelekwa hospitalini kutibiwa uraibu wa sumu ya kifisadi waliyovimbiwa.
Mwambungu ana haki ya kujikomba kiasi cha kutia aibu kwa maana anafahamu jinsi alivyoteuliwa, na ushoga wake na aliyemteua kwani kwa vipimo vya kawaida hana sifa hata ya kuongoza kitongoji! Ni mpumbavu tu.
Morogoro ni yetu sisi na hakuna wa kutuzuia kufanya chochote ili kuondokana na ugandamizaji wa hili dude linaloitwa CCM. Tumevumilia kiasi cha kutosha na sasa wakati umekwisha tuwaambie kwa vitendo kwamba sasa basi, imetosha. Kama ni kweli Kingalu ameshiriki kutamka hayo basi kuanzia leo hastahili kabisa hadhi ya uchifu kwani machifu wetu wote wa Uluguru, Ukutu, Usagara, Unguu, Uvidunda, Ukaguru walikuwa na msimamo kumtoa Mangunga wa Msowero.
Natoa wito kwa CHADEMA kuendelea na mipango yenu ili tuwatie adabu hawa majambazi wasio aibu wanaotukanyaga kwa viatu nyenye misumari na kutusanifu kwa kutuambia "Msijitikise, tusije anguka tukikosa balance".
 
Hahaha ! Mwambungu anasahau kauli ya Boss wake " Vita ya Haki Ushindi ni Lazima" atake asitake tutaandamana hapa Morogoro na tutapita hapo hapo kati kati ya mji maana ndio kuna wananchi wanaoumizwa na dhulma na mateso ya maisha yanayosababishwa na serikali ya chama chake! Mwambungu kumbuka huwezi kuzuia mvua, na CDM ni mvua itanyesha tu!
 
  1. Mkuu wa Wilaya: Saidi Mwambungu
  2. Chifu Kingalu Mwanabanzi
  3. Meya wa Morogoro: Amir Nondo
  4. Mbunge wa Zamani: Issa Ramadhani Kiombwe

Habari za Msikitini hizi! Crap!!
 
wote wanaopinga ni vibaraka wa ****** so hakuna kurudi nyuma namimi kama mwana chadema ntakuwa moro cku itavo fika
 
Watasimamisha uchumi upi wa Morogoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…