Nimekuwa nikifuatilia maandamano ya Kenya kwa karibu sana,yanayoendelea ni yale yale matokeo ya kutotii mamlaka na madhara yake wote tumeyashuhudia.
Kilichonifanya nitie kalam yangu ni uhusiano uliopo kati ya CHADEMA,EALS,na wanaharakati wa haki za binadamu wasiofahamu panapodaiwa haki kuna wajibu. Wamekuwa wakishirikiana kwa muda mrefu hadi kufikia kualikana katika kesi ya uhaini hapa Tz kwa lengo la kumtetea mdhambi wakishirikisha EALS ,na wachafuzi wa nje kama Amsterdam etc
Lakini huko Kenya yanayoendelea sijaona tamko lao au mialiko toka Nairobi ikiwaomba washirikiane kuchochea dhambi,TLS na EALS zimekuwa toothless dog,CDM hawana muelekeo nikahisi labda ramli Yao imeona maaskari wa jirani nao wamepanga wawa Martha Karua au kama yule mwenzake au wa Uganda.Nikasema pengine uoga wao manake hata huku kwetu wao maandamano yao huishia mtandaoni.
Asanteni