Hata hivyo vyama vilivyoungana na CHADEMA na kufanya UKAWA. vimeingizwa Chaka, harakati zote za CHADEMA huwa hazifanikiwi. M4C, OPERESHENI SANGARA, etc Zote zimekuwa historia, sasa hili la UKAWA nalo halichukui Round, hatutalisikia tena. UKAWA ndio mwisho wa CHADEMA.