CHADEMA yalinyoosha bunge

CHADEMA yalinyoosha bunge

Ha ha ha kweli mkuu, HKL hadi Pharmacy!

Afu nadhani hiki kizazi Waziri wao ni Philipo Mulugo (Tanzania = Visiwa vya Zimbabwe + Tanganyika).
Na haya ndio madhara ya kulazimisha Big Results Now ktk Elimu. Mara division 5. Mara kubadili matokeo ya Form 4 mara 2!

Hawa ukiwaambia una umwa mgongo hawachelewi kukupa Metakefrini!!

JK bhana kaweka historia nyingi Bongo!

Tutajaza vitabu vya historia
 
Na wanafunzi nao ni wajinga vya kutosha utasomaje HKL ,halafu ukasome pharmacy na wew unakubali kuupoteza mda wako kwenda kusoma harmacy '

Hayo ndio matunda ya viongozi wa serikali sikivu
 
Back
Top Bottom