CHADEMA yalaani matukio ya utekaji na mauji yanayoendelea nchini, yalitaka jeshi la Polisi kuja na majibu ya kina

CHADEMA yalaani matukio ya utekaji na mauji yanayoendelea nchini, yalitaka jeshi la Polisi kuja na majibu ya kina

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,160
Reaction score
11,228
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA, Brenda Rupia akiongea na waandishi wa habari leo Februari 21, 2026 amesema kama chama wanasikitishwa na hawataacha kukemea na matukio ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini, akirejea tukio la hivi karibuni la mfanyabiashara wa Arusha, Banjoo kutekwa na baadaye mwili wake kukutwa umetelekezwa Dodoma huku ukiwa umetobolewa macho.


Pia soma
- Nililionya Jeshi la Polisi kuhusu ukamataji bila kufuata taratibu kwakuwa unaacha 'Loophole' kwa Magenge kufanya Utekaji na Mauaji Unrecognizable
 
Back
Top Bottom