Tanzania daima hivi hili gazeti la mbowe?du Policcm ndio wamemwokoa slaa na kichapo kutoka wana chadema kigoma mara hii tena ccm wanagharamia kichapo! Du ngumu kuamini
wananchi wote wanafahamu kwamba chadema ndiyo mkombozi wao pekee aliyebaki , WARID KABURU mtu aliyejengwa kwa udongo wa chadema hana uwezo wa kuivunja cdm , elimu yake yote inateteketea kwa tamaa za kijinga .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.