RICH OIL SHEIKH
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 883
- 170
Sasa anadhani huko ccm ndiko salama? Kwa kuwa haijui ccm anadhani mambo ni shwari ccm, nao pia wanatapatapa tu. Amuulize Mwakyembe ndo atajua kuwa hata ccm sio salama, ni heri hata angekaa tu bila chama ningemuona mwenye busara. Nadhani hao jamaa wana njaa tu ambao nadhani walipata mgao wa Nape katika mkakati wake wa kununua wanachadema.Katibu mwenezi wa CDM Kilosa Bw. Ramond Mlama na Mjumbe wa Wilaya ya Kilosa Penfold Chimola wamekitosa CDM na kujiunga na CCM kwa kuwa CDM haina sera madhubuti, na CCM si chama cha wabaguzi na wababaishaji. Ameongezea kuwa washabiki wa CDM hawajui ubaguzi uliokitanda chama hicho ila yeye kama kiongozi ameona. Hii imetokea juzi. Poleni sana.
Source Mwananchi la leo
Ulitaka hao viongozi wabaki kwenye chama cha mapadre na wakaskazini?Jamani baadhi ya waislam uwezo wao wa kufikiri ni zaidi ya Rejao, Ritz, malaria sugu na Bibiye FF