Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,546
- 272,275
Hii ni kauli ya Makamu Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Patrick Olle Sosopi.
Amesema pamoja na kwamba uchaguzi uliopita kura zake hazikutosha lakini bado ataendelea kutatua yale yote aliyoahidi katika kampeni zake,
(1) Mawasiliano, ambapo amedai kuweka mkakati wa kuzuia aibu ya wananchi kupanda juu ya miti ili kupata network.
(2) Ameahidi kuendelea kutatua migogoro ya wakulima na wafugaji.
(3) Pia ameahidi kuendelea na juhudi za kutatua tatizo la ajira kwa vijana wanaomaliza vyuo vikuu.
Kiongozi huyo wa BAVICHA amewashangaa wananchi wa Isman kumuongeza miaka mingine mitano mtu aliyeshindwa kutatua shida zao kwa miaka 20!
MY TAKE - Pamoja na tofauti zetu kisiasa lakini naomba sana tusaidie kutatua matatizo ya Isman ambako imeripotiwa wiki hii kwamba wananchi wanaishi kwa kutegemea matunda pori na mizizi.