CHADEMA yajipanga kujenga ofisi

Ni wazo zuri. Lakini na nyie chadema msiige staili ya wale makaburu. Jengeni ofisi za kawaida tu. Uimara wa chama ni zaidi ya ofisi.
 
WASIJEJENGA VIOSKI VYA VIROBA VYA POWER
 
Huyo katibu mkuu aende kutibia watu aachane na siasa kwa sababu siasa haimpendi.
 
...... naona wanachama wale wasiotumia akili wanaanza kuibiwa tena. Yaani inakua kama yale makapu ya kipindi kile Mh Dj alikuwa anakusanya. Ila hiki chama wezi sana. Ruzuku wanapeleka wapi?
 
Majizi ya CCM na propaganda zao za kijinga eti miaka 20 ndio Ofisi zinajengwa, khaa! Wao wanatumia mali za umma Chadema wanatumia nguvu zao, pia watambue Kua Chimwaga yao wameijenga juzi wakati Lichama lenyewe lipo tokea nchi ipate uhuru kwa mjerumani.
 
jamani ndo wanataka kujenga ofisi
mbona makubwa[emoji23][emoji23][emoji23]/ miaka yote mlikua wapi?

chama hakina makao ya kudumu[emoji125][emoji125][emoji125]!??
Lini CCM ilijenga ofisi. Imepora ofisi zilizojengwa na wananchi viwanja vya michezo vimeporwa, imepora viwanja vilivyowazi. Halafu mnakuja na ngere za kujenga
 
Wametafuna hela miaka 20 sasa ndio wanajinga! Na bila aibu wataanza kuchangisha walalahoi wakati wao wanatembelea helkopta.
 
Pesa ya ofisi aliyotoa Sabodo imekwenda wapi?

Chama kina miaka 24 bado kinajipanga kujenga ofisi ya chama.

Ni aibu kupanga rooms tatu pale Ufipa.
 
Naona hapo fisadi Lowassa anataka kuanza kupigwa maana si ndo bosi wa harambee na marafiki zake? Mchangishieni Mbowe akagomboe Bilz.
 
Yaani baada ya miaka 20 ya chama ndio kwanza mnajipanga kujenga Ofisi Bora mimi sio mwanachama wa hiki chama kisicho na dira wala mwelekeo. Chadema ni kundi la watu waliokosa maono kabisa!

Wazo ni hatua ya msingi, na kusema kweli hii itakuwa hatua bora kabisa kuwahi kuchukuliwa na chama hiki. Tunaiunga mkono na tutajitoa kwa hali na mali. Katika kata ya Kibanga, wilaya ya Muleba,Mkoani Kagera. Wanachama wawili wametoa ardhi kwa ajili ya chama kujenga ofisi ya Chadema katika kijji cha Kabutaigi na Mzee Abdul Rajabu Mtatembwa, ametoa ardhi kwa ajili ya kujenga ofisi ya Kata ya Chadema.

Hivi karibuni taratibu rasmi za kukabidhi ardhi kwa wananchama wa chadema zitahitimishwa na taratibu za kukusanya michango ya ujenzi zitaanza.
Hiongera sana Dr. Mashinji.
 
Weledi wa mtu hupimwa kwa namna anavyochukua hatua katika kushughilika na jambo, kuchelewa sana kuchukua hatua hiyo muhimu ni ishara kua chadema sio chama makini!
 
Sasa ule ukuta mliokuw mnauhubiri ndio muutekeleze kwa vitendo

Siyo ukuta wa kuandamana wakati chama hakina tofali hata moja makao makuu
 
CHADEMA ni genge la wezi....ruzuku mnapeleka wapi?
 
Mwendo ni hatua, Kila lakheri katika kulifanikisha hili. Hasa tukiamini kuwa hii ni hatia kubwa katika kuendeleza harakati za kuwakomboa wanyonge.
 
Wamepiga pesaaa leo ndo wameona umhimu sasa? Pooor thinking.

Anyway, kila la heri dr mashinji, maana mbowe anawaza kukusanya kodi tu na sio kujenga. Sabodo angekuwa kesha maliza hii kitu lkn aliowasapoti wao wakala pesa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…