CHADEMA yajiengua UKAWA

Status
Not open for further replies.
Haya majina mbona ya upande mmoja kama chama cha imani, napata mashaka na hiki chama. Potelea mbali kama nitaambiwa mdini hapa mwisho wa siku kuna watu itakula kwao ingawa wimbo wa ukombozi twaimba sote
 

Walewale kondoo wa bwana.
 

Faiza, Haya majina yote mbona ni ya upande mmoja tu?
 
Gazeti hili linamilikiwa na Waziri mmoja aliyetimuliwa kuhusu sakata la ESCROW (japo majuzi amaesafishwa katika mazingira yanayoweza kueleweka katika mazingaombwe tu). So, it's no rocket science kuelewa kwanini gazeti na mmiliki wake wangetamani kuona Chadema sio tu wanatoka UKAWA bali pia wanaangamia. Itambulike kuwa CCM imekuwa hifadhi muhimu kwa watu kama waziri huyo wa zamani, na pindi UKAWA wakifanikiwa kuingia Ikulu, basi segerea inawasubiri.
 
Hata MUNGU alituonya juu ya watu wenye maneno mengi kama masadukayo na mafarisayo!
 
Faiza, Haya majina yote mbona ni ya upande mmoja tu?
1. Stephen Wassira
2. Edward Lowassa
3. Lazaro Nyarandu
4. Harrison Mwakyembe
5. Mark Mwandosya
6. William Ngeleja
Hawa wanatajwa kuutaka urais kwa tiketi ya chama cha majambazi (ccm)
 
Polen wandugu mnajua kutumia vizuri ujira wenu wa buku 7000. Lakini ACT kamwe haitajiunga ukawa. Na zzk hasafishiki.
 
I am surprised hii thread bado ipo humu

Ingekua ya Membe, Zitto au Pinda ingeshang'olewa

Absurd
 
Kila zama na nabii wake. Zama za zitto zishapita hilo lazima mtalikubali tu, ni suala la muda tu.
 
Kichwa cha habari kinatofautiana na maelezo ya ndani/hivyo uandishi wako naufananisha na waandishi wa magazeti ya zamani flani Dar leo, Alasili,hapo umechemka.Ukawa itawaumiza sana kichwa
 
Pole ccm. Propaganda zenu zimepitwa na wakati. Mfa maji haachi kutapatapa na kumbukeni kuwa "Siku ya kufa nyani miti yote huteleza". Kwa heri ccm pamoja na tawi lenu la acha ccm tule(act).
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…