CHADEMA yaitisha kikao cha Kamati Kuu

Asante kwa taarifa japo mida na kutolewa inaonekana kuwa mbele ya muda halisi! Sijajua umekopy na kupaste au kuna katumia jina la mnyika. Maana naona mambo ya 2010 na 2010!
 
Asante kwa taarifa japo mida na kutolewa inaonekana kuwa mbele ya muda halisi! Sijajua umekopy na kupaste au kuna katumia jina la mnyika. Maana naona mambo ya 2010 na 2010!

Wewe ndio utakuwa umeingia choo cha kike.
 
mnyika na chama chenu cha kibaguzi hamna jipya mtaonea watu mpaka lini.
 
Kwanini CHADEMA ikianza mkutano wao wanasiasa hodari wanafariki?
R.I.P Mgimwa

Childish, too low mkumbushe Baba yako akulipie school fees shule ndio zinafunguliwa mpunguze kiwingu kwenye serious forum.
 
Wewe ndio unahitajika kuwa mwangalifu sana, @Pdiddy alicomment thread hii tarehe 2 mwezi wa 12 mwaka 2009.
Inawezekana sikukuu syndrome imenikamata lakini tarehe iliyotolewa si jana wala juzi na agenda haziendani.
Hata hivyo asante sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…