Kuna watu wengi humu ndani kazi yao ni kuandika utumbo tu, kama huna cha kuchangia si ukae kimya, hivi nyie vijana wa ccm mna wazazi kweli, au mlikulia jalalani, maana upuuzi mnaondika humu haioneshi kama mlifunzwa adabu na wazazi wenu, au ndio mafunzo mnayopewa huko uvccm, maana wote mnaakili kama Mwigulu, lusinde au John Komba, mnatia aibu humu jamii forum, lo!