Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,286
- 271,519
Watu wengi wenye upeo wa chini ambao wengi ni wanaccm (sababu zinafahamika) wanadhani kampeni ya No Reform No Election ni mpango wa Chadema kususia Uchaguzi.
Ukweli ni kwamba jambo hili si kususia uchaguzi, bali ni kuzuia kufanyika kwa uchaguzi ikiwa hakutakuwa na marekebisho ya utaratibu uliopo wa Uchaguzi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ndio maana Chadema imetangaza kuwaita Watia nia wake wote wa Ubunge ili kuwaelimisha mambo kadhaa, Chadema inaamini kwamba Reforms zitafanyika ili kuwezesha uchaguzi huru na haki na hasa baada ya juhudi zao za kwenda huku na kule ili kuweka shinikizo la maboresho hayo.
Taarifa yao hii hapa