CHADEMA yaingia Kanda ya Kusini

Ccm element hamna hati miliki ya nchi yetu,hii ni ya sisi wote, nakushangaa sana middle class mtoa hoja you can go so low kwa mkutano huu wa CDM na uka pick futari kama ndio habari, upumbavu huu ni cancer mbaya mno
 
Kwahiyo wakienda kwenye futari ndio wataona matokeo? Mtu mzima kuleta story isiyochekesha nayo ni aibu ya aina fulani.
Mkuu umetumia lugha laini sana kama muungwana, lakini kutokana na ujinga wake hata kuelewa.
Sahihi kumwambia ni mtu mzima kuandika ujinga mbele za watu ni upumbaf
 
Una akili timaru wewe?
Unajua maana hasa ya futur na kufuturisha?
Ulishawahi kufuturu?
Nikuulize nn kibaya hapo?
Makonda alishawah kufuturisha wakati ni mkristo ulikuwa wapi wakati huo? Tuseme makonda alikuwa anatafta nn
 
Kwani nani kasema Kuna Kibaya? Hiyo kete ya kuvutia watu Mkutanoni mumeianzisha Sasa baada ya hali mbaya maana mlikuwaga mnawacheka ccm nyie.
 
Kwahiyo wakienda kwenye futari ndio wataona matokeo? Mtu mzima kuleta story isiyochekesha nayo ni aibu ya aina fulani.
Suala ni Chadema kuchokwa hadi kufikia hatua ya kubembeleza watu kupitia imani za kidini,pamoja na vyakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…