CHADEMA yaimarika UDOM

CHADEMA yaimarika UDOM

CCM MKAMBARANI

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2017
Posts
2,031
Reaction score
1,529
HATIMAYE CHADEMA TAWI LA CHUO KIKUU CHA DODOMA WAMEFANIKIWA KUPATA SAFU MPYA YA UONGOZI.

Siku zote katika nchi yenye mfumo wa vyama vingi siasa huruhusiwa kwa watu wote, isipokuwa tu kunapokuwa na ukiukwaji wa taratibu na katiba.

Uongozi mpya uliojipambanua kama mtetezi wa wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma ni kama ifuatavyo.
1.SAMSON CHACHA-MWENYEKITI
2.YOHANA BAYO-KATIBU
3.NEEMA JULIUS-MWENYEKITI BAWACHA
4.MS. ANNA-KATIBU BAWACHA
5.ELISANTE KIMARO-MWENYEKITI BAVICHA
6.JULIUS HARWELI-KATIBU MWENEZI
7.PETER FABIAN-KATIBU BAVICHA.

Safu hii mpya imechaguliwa siku ya jumapili katika uchaguzi uliofanyika katika ofisi za Ngong"onha CHADEMA UDOM.
-Maalim Mussa ndiye Mwenyekiti mstaafu na amewatakia mafanikio mema viongozi wapya.
 
Jamani kwani mlacha hayupo tena udom?.....Pia nimesikia Prof mwamfupe kawa diwani wa kuteuliwa?....Ama kweli Udom hakuishi vituko
 
Someni nyie a
HATIMAYE CHADEMA TAWI LA CHUO KIKUU CHA DODOMA WAMEFANIKIWA KUPATA SAFU MPYA YA UONGOZI.
Siku zote katika nchi yenye mfumo wa vyama vingi siasa huruhusiwa kwa watu wote,isipokuwa tu kunapokuwa na ukiukwaji wa taratibu na katiba.
Uongozi mpya uliojipambanua kama mtetezi wa wanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma ni kama ifuatavyo.
1.SAMSON CHACHA-MWENYEKITI
2.YOHANA BAYO-KATIBU
3.NEEMA JULIUS-MWENYEKITI BAWACHA
4.MS. ANNA-KATIBU BAWACHA
5.ELISANTE KIMARO-MWENYEKITI BAVICHA
6.JULIUS HARWELI-KATIBU MWENEZI
7.PETER FABIAN-KATIBU BAVICHA.

Safu hii mpya imechaguliwa siku ya jumapili katika uchaguzi uliofanyika katika ofisi za Ngong"onha chadema udom.
-Maalim mussa ndiye mwenyekiti mstaafu na amewatakia mafanikio mema viongozi wapya.
Someni nyie acheni kurubuniwa na akina mbowe ambacho chuo kikuu hawajakanyaga. Mmeenda kufanya siasa au kusoma!!
 
HATIMAYE CHADEMA TAWI LA CHUO KIKUU CHA DODOMA WAMEFANIKIWA KUPATA SAFU MPYA YA UONGOZI.
Siku zote katika nchi yenye mfumo wa vyama vingi siasa huruhusiwa kwa watu wote,isipokuwa tu kunapokuwa na ukiukwaji wa taratibu na katiba.
Uongozi mpya uliojipambanua kama mtetezi wa wanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma ni kama ifuatavyo.
1.SAMSON CHACHA-MWENYEKITI
2.YOHANA BAYO-KATIBU
3.NEEMA JULIUS-MWENYEKITI BAWACHA
4.MS. ANNA-KATIBU BAWACHA
5.ELISANTE KIMARO-MWENYEKITI BAVICHA
6.JULIUS HARWELI-KATIBU MWENEZI
7.PETER FABIAN-KATIBU BAVICHA.

Safu hii mpya imechaguliwa siku ya jumapili katika uchaguzi uliofanyika katika ofisi za Ngong"onha chadema udom.
-Maalim mussa ndiye mwenyekiti mstaafu na amewatakia mafanikio mema viongozi wapya.
Naona tawi la wakaanga chips tu limeimarika hapo.
 
Haya mambo utayakuta Tanzania tu!
 
Jamani kwani mlacha hayupo tena udom?.....Pia nimesikia Prof mwamfupe kawa diwani wa kuteuliwa?....Ama kweli Udom hakuishi vituko
mlacha alishasepa na sasa ni huyu mtu mwanaccm imara aitwaye kikula
 
Back
Top Bottom