kiongozi kanda ya ziwa mashariki na mgombea ubunge jimbo la bunda mjini 2015 aliyetangaza nia Dr. Webiro L.Webiro{Umwana wayeka}. akiongea na wananchi wa bunda mjini kwenye vijiji vya nyatwali ziwani,bukore,tiring'ati na mariwanda mwishoni wa wiki.
Akiwa kwenye ziara yakuelekea serengeti kwa ajili ya zoezi la maandalizi ya chedema uchanguzi mdogo wa kata ya manchila.amesema bunda mjini ni jimbo ambalo kila siku kero za watu wa bunda ni mtaji wa ndugu na rafiki wa karibu na Mh.wasira na watu wa CCM waliopo bunda kauli hii naithibisha kwamba kadaransi kulima barabara aliyepewa tunamjua naamekula fedha zetu nakuweka makaravati yanayochukuliwa na maji kila wakati huu ni ufisadi wa hali ya juu.
Maji ni wimbo wa kila uchaguzi ukifika mh. kikwete hata yenye alisha sema maji bunda tangu 2010 hadi sasa hakuna maji ni aibu kudangaya watu wazima namna hii, hata matenki yaliojengwa tayari yameharibika bila hata maji mradi wa nyabehu umekuwa ngojela kwa watu bunda na fedha zilishatolewa naomba CAG afanye special audit juu ya hili.kweli baba wa taifa alituachia msingi ya uzalendo na udilifu hawa jamaa hawataki kabisa kuifuata imebaki ubinafisi,uchoyo,ulangai, wizi,na vitisho vya maisha, ulafi wa madaraka sasa bunda hatutadanganyika tena.
Amepokea wanachama wapya wengine viongozi wa CCM 345 wamejiunga na chadema, chadema mwendo mdundo.Naomba mkuu wa wilayaMh. Joshua Melumbe atatue kero ya nyani kuchukua watoto DDH,kero ya wachimbaji wa madini wadogo kutotambuliwa na serikali, kero ya vijana wengi bunda kuishi bila ajira baada ya viwanda vyote kutelekezwa na serikali,kuwa namagulio na minanda isiyo na choo na sema sasa msilipe tena wapatie choo kwenye minanda na magulilio ili mlipe ushuru kama hakuna naomba ndugu zangu wanabunda hatulipi mpaka kieleweke bunda msiongope Tutashinda mara moja kama hawataki tutaitisha maandamano ya kitaifa ya amani kudai haki na uhuru wa kweli.