CHADEMA yaigaragaza CCM Vunjo


kikwete anatakiwa kuelewa kuwa kuna maisha mengine baada ya siasa.
 
Maccm kwisha kazi duu...

wana roho ngumu sana.
hii ni sawa na wakenye kuwa prove wrong ICC na kusema Uhuru na Ruto ni wasafi kwa njia ya kura.
ccm wamebaki wanawabambikia kesi chadema huku wananchi wakiendelea kuwaprove wrong ccm kwa njia ya kura!!!??

peopleeeezzzzzz!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…