asante sana mungi kwa taarifa murua ya ushindi huo huku bado tukiwa tunafurahia ushindi bumbuli huu wa vunjo unaongeza faraja zaidi.tulianza na mungu tutamaliza na mungu
Safi sana ikiwa mnatambua umuhimu wa kura za chini ndivyo mnavyopaswa kuona na umuhinu wa viongozi wa chini. sio anapotoka kiongozi wa chini ndani ya chama mnasema hana madhara kwa kuwa tu ni ngazi ya chini wakati wanaposhinda mnawashangilia na kujitangaza kupitia wao kama kwenye hii post.
Yaani nikisikia habari nzuri kama hizi huwa moyo wangu unafarijika sana...hongereni makamanda kwa kazi nzuri...wananchi na wapenzi wote wa chadema ni makamanda.moto ukiowashwa hautazimika japo maccm na mapoliccm kila siku yanaibua mambo mapya...yauongo na uzushi..ila wananchi walishaamka siku nyingiii..shukrani kwa nepi naunye anaye promote chadema bila yeye kujijua....viva chadema, viva makamanda woote.
Loliondo mbona tayari?? Wana loliondo wenyewe wanasema bado chadema tu haijaamua!!! Hadi raha yaani,nilikuwa loliondo staki kuhadithiwa chochote kuhusu loliondo,niliyoyaona yanatosha kufanya conclusion.