CHADEMA yaigalagaza CCM Rorya!

JACADUOGO2.

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
930
217
CHADEMA Kimeigalaza CCM kwenye uchaguzi mdogo wa M/kiti wa Kitongoji cha NYAMIRENDE kijiji cha OMOCHE kata ya NYAHONGO wilaya ya RORYA! Uchaguzi ulifanyika juzi na matokeo yalikuwa kama yafuatayo:
CHADEMA 146.
CCM 62.
Tofauti ya kura 84 kwa ngazi ya kitongoji si haba!
Taarifa nyingine kutoka kijiji cha MANYANYI kata ya NYAHONGO wilaya RORYA ni kuwa M/kiti wa kijiji hicho kilichopo mwambao wa ziwa victoria amepigwa chini kwa kura ya kutokuwa na imani naye kupitia kwa wajumbe wa kijiji na kijiji kukabidhiwa kwa Kamanda wa CHADEMA hadi uchaguzi utakapofanyika muda wowote tangu sasa. M/kiti huyo wa kijiji alikuwa ni wa CCM na ametimuliwa kutokana na kuhujumu na kuchakachua mapato ya kijiji yanayotokana na shughuli zao za uvuvi.
Ahsanteni wadau!
 
Safi sana ndugu zetu from MARA,Wataondoka taratibu mpaka itafika kwenye level ya urais lol!!
 
CHADEMA wanasababisha madaktari wapate wateja. watu presha mingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Mushi kama yupo home basi bahati yake
 
Ni habari njema sana hii. Ukombozi huanzia kwenye grassroots kabisa. Liberation is around the corner.
 
dalili ya mvua ni mawingu, Tusubiri kimbunga uchaguzi wa madiwani
 
Back
Top Bottom