CHADEMA yaibwaga CCM Magu

Mbusule

Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
87
Reaction score
83
Chama cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kimeibwaga CCM katika uchaguzi mdogo wa vijiji na vitongoji ambapo kimechukua vijiji vyote vinne....matokeo ya vitongoji bado yanakusanywa lakini tunaongoza vitongozi vyote sita vilivyotangazwa....Bado vitongoji 21.Stay tuned!
 
magamba tumbo njoto.....maisha halisi tuliyo nayo ndo yana waumbua hawa magamba
 
Hizi ni habari nzuri kusikia. hongereni Wananchi wa Magu kwa kuchagua Haki
 

Ni kwa nini matokeo haya hayajaripotiwa katika magazeti ya leo?
 
kwanini mpaka sasa hawajatangaza ya uchaguzi wa vitongoji tu hawajatangaza duh.
 
Sipati picha kwa wale wanaosema vyama vya msimu mara cdm kitakufa sasa ccm kinatoweka mwisho wa Majigambo ni 2014 miezi kadhaa ijayo.
 
Habari njema Kweli, tunashukru sana maana J2 ilinuka damu na maudhi ya mengi
 
Sijui kwa nini nawachukia waisilamu jamani!
 
Matusi, kejeli na upeo mdogo wa viongozi wa sasa CCM ni petroli ya Moto wa mabadiriko nchini! CCM Badala ya kusimamia kero za wananchi wanazunguka kutukana matusi na kuhoiji hata Elimu za watu ambao Watanzania tuna waona ni Nuru kama Mnyika. Badala ya Kulinda Usalama wa rais wamegeuka watoa rambirambi, badala ya kuendeleza Technolojia watakakuzuia hata hii ndogo tulionayo eti watu washindwe hata kuona TV live. 2015 CCM pumzikeni, kaeni pembeni msome mchezo wa jinsi ya kuongoza nchi Mungu akiwajalia Mrudi 2035.
 
Ni habari njema kwa wapenda demokrasia na mabadiliko,hongera CDM.
 

M4C inafanya kazi, kama ndiyo hivi MAGAMBA baibai. 2015 hawapati kitu. KAZI NZURI MAKAMANDA
 
Mkuu hebu utujulishe kuhusu viti vilikuwa vya nani na nani akachukua na mwisho wa saa utulishe pia nani kavuna nini na kapoza nini ili tuwe na takwimu nzuri
 
Mkuu hebu utujulishe kuhusu viti vilikuwa vya nani na nani akachukua na mwisho wa saa utulishe pia nani kavuna nini na kapoza nini ili tuwe na takwimu nzuri

tulia mkuu. si unajua ccm wakishindwa hua hawatoi majibu mapema?. hongera cdm. mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…