Makamanda wa cdm wakiongozwa na Habibu Mchange, Rajabu, Mwampamba wanazunguka kata zote za jimbo la kibaha vjijin kufungua matawi na leo wapo mpiji kote wanakozunguka wanavuna wanachama weng. Hakika vjijin wameichoka ccm. Viva cdm
Hamoud Juma anawakati mgumu sana kutetea kiti chake 2015. Vijana wamekasirika huwezi amini vijijini ni bendera za cdm ndizo zinapendezesha vitongoji ni mitaa
nasikia ccm wametangaza kujitoa kugombea tena majimbo yote ya kibaha yaani mjini na vijijini.
ila sina hakika kama ni kweli.
tutumie picha za huko basi tupate kuziona.
nasikia ccm wametangaza kujitoa kugombea tena majimbo yote ya kibaha yaani mjini na vijijini.
ila sina hakika kama ni kweli.
tutumie picha za huko basi tupate kuziona.
jana nilimuona Koka akiranda randa mitaani aliwakusanya vijana wa mpira pale kongowe s/m na kuzungumza nayo hii ni baada ya uchaguzi ndo anazinduka leo. Cdm inawapeleka mputa.
huu moto hauzimi hapa Mbeya jana uchaguzi wa vingozi ngazi ya kata ulifanyika katika kata zilizosalia na moto unaendelea hadi ngazi ya shida kilicho nifurahisha ni idadi ya wagomea na wapiga kuwa wengi huku amani ikitawala nimefuatilia karibu sehemu zote kulikuwa na amani

Well,,kwa cdm hilo ndo lililobakia,ni kutembea sana vjjni, Aweda uko wapi mkuu? mie napenda kupata bendera zenu na kapelo kadhaa,navipataje hivi?last time nilinunua pale makao makuu kapelo kwa tsh 3000, bendera utaratibu uko vp kuzipata?