CHADEMA yafunika Babati

By KIGOMA KWETU


Huyo Kigoma Kwetu wala hajatumwa na J.W.Malecela bali hao ni mtu mmoja kwa ID tofauti. Hii hadithi ya wabunge wa CDM kupokea rushwa ililetwa na baharia baada ya kushindwa uchaguzi wa ubunge wa EA. Kaona anapata vipigo kila aleta hiyo hadith yake kaamua kuja na ID mpya ili ionekane wengi wanam-support.
 
dahhhhhh had raha magambaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!! kwisha habari yenu!
 
Manyara ngome kongwe ya CCM wala wanajisumbua tu hao ni vijana wa stendi na abiria ambao wanasafiri kwenda majumbani
 

Aisee, kweli eee???
Afadhali umetujuza, nawe ulikuwepo ukaona na hukuchukua hatua zozote.
Tuletee basi ushahidi wa kutuaminisha hicho usemacho.
 
Manyara ngome kongwe ya CCM wala wanajisumbua tu hao ni vijana wa stendi na abiria ambao wanasafiri kwenda majumbani

Mwongo mkubwa. Ingawa jina laonesha we wa mkoa huo lakini inaonekana umefunikwa na magamba.
 
Maneno ya kujifariji hayo, CCM yadumu milele. Chadema ndiyo itakufa muda si mrefu.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
kada nilishawahi kukuuliza na mpaka leo hujanijibu ulizaliwa kipindi cha pepopunda?? nijibu bwana ili nisikuhukumu
 
chadema walikuwa wanaonekana kama waiziwaizi hivi yani huwezi kusema mimi nichadema ukaeleweka. lakini sasa hivi imegeuka sisim wanaonekana kama wamenyeshewa na mvua hivi. juzi nikiamka kwenye nyumba yajirani nimekuta kofia za sisim zimetupwa jalalani usikusiku mtake msitake chedema inakuja kwa mwendo kasi ajabu na hivyo hivyo sisim inapoteza umaarufu kwa mwendo wa kasi ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…