nyabhera JF-Expert Member Nov 25, 2011 660 729 Dec 20, 2013 #1 katika harakati za kujipanga kwakushinda uchaguzi mdogo kata ya ubagwe katika halmashauri mpya ya Ushetu. CHADEMA wamefanya mkutano wa kwanza wa nguvu katika kijiji cha Mwadui amabako mamia wakazi wamehudhuria na wengine 24 kujiunga na chadema.
katika harakati za kujipanga kwakushinda uchaguzi mdogo kata ya ubagwe katika halmashauri mpya ya Ushetu. CHADEMA wamefanya mkutano wa kwanza wa nguvu katika kijiji cha Mwadui amabako mamia wakazi wamehudhuria na wengine 24 kujiunga na chadema.
Threesixteen Himself JF-Expert Member Feb 12, 2013 8,223 7,993 Dec 20, 2013 #4 ! ! duh...kwa kweli ni noma sana duh