CHADEMA yafanya mkutano Ubagwe

nyabhera

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
660
729
katika harakati za kujipanga kwakushinda uchaguzi mdogo kata ya ubagwe katika halmashauri mpya ya Ushetu.

CHADEMA wamefanya mkutano wa kwanza wa nguvu katika kijiji cha Mwadui amabako mamia wakazi wamehudhuria na wengine 24 kujiunga na chadema.
 
Back
Top Bottom