MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 793
Neno kijiji kizima ni zito hebu tuambie hadi watoto wa chini ya miaka 18 nao wamo?
Kijiji kina watu wangapi hadi ukajua kwamba wote wamehamia CHADEMA?
Tuwe macho kuongeza chumvi nyingi hata kama habari ni ya kweli inaharibika
This is what we expect, CCM is now an opposition part in Moshi, Arusha Mwanza, Mbeya and even Songea
They better asks themselves where is KANU, Where is UPC, they better look also countries like Malawi, Zambia and Mozambique, It is on the way to follow them
CDM inachekesha sana adui muombee njaa,CCM ushindi 2015 utakuwa wa Tsunami habari ndo iyo
Jamani huo sio ukweli nakanusha kabisa, kwamba moshi kuna ccm. Ccm imekufa kifo cha kufa na kuzikwa hakina members humu, na hivi punde wanachokifanya kina ndesamburo ni kuhakiki wanachama wa cdm walio hai kata nzima kuhamia chadema inawezekana ila ninachokijua na kukiamini mimi moshi kwa sasa hakuna gamba na kama lipo siku zake za kufa hazifiki 2015 katika uchaguzi wa wenyeviti wa vijiji na vitongoji 2014 vua gamba vaa gwanda.
CDM inachekesha sana adui muombee njaa,CCM ushindi 2015 utakuwa wa Tsunami habari ndo iyo
Hiloooooooo! Tehe tehe tehe tehee! Endeleeni kujifariji tu, tutawazika bado mnapumua, tehe tehe teheee!Hao wote walikuwa wafukuzwe cCM tunajivua Gamba
Hapo kwenye red kuna mashaka saa hizi ni saa moja asubuhi huo mkutano ulifanyika usiku?
Neno kijiji kizima ni zito hebu tuambie hadi watoto wa chini ya miaka 18 nao wamo?
Kijiji kina watu wangapi hadi ukajua kwamba wote wamehamia CHADEMA?
Tuwe macho kuongeza chumvi nyingi hata kama habari ni ya kweli inaharibika
Neno kijiji kizima ni zito hebu tuambie hadi watoto wa chini ya miaka 18 nao wamo?
Kijiji kina watu wangapi hadi ukajua kwamba wote wamehamia CHADEMA?
Tuwe macho kuongeza chumvi nyingi hata kama habari ni ya kweli inaharibika
Naona mmekosa chakuandika.Unajua cdm wanatapata sana hivi unafikiri ccm imeanza jana?subiri muone maana sasa hivi hiyo Kata unayosema ndio kwanza wamepata viongozi wa CCM SHINA,CCM TAWI NA wanaelekea kwenye chaguzi za Kata,Wilaya,Mkoa na Taifa.Sasa wewe unayesema Kata nzima imehamia cdm si unawadanya wenzako? Safari hii msio kipenda CCM mtapata ugonjwa wa moyo bure.CCM tumejipanga kukamilisha mipango ya kulikomboa jimbo la Moshi Mjini ili mkose pa kuegemea.
KIDUMU CHAMA TAWALA CHA CCM.