Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,134
Jamani huo sio ukweli nakanusha kabisa, kwamba moshi kuna ccm. Ccm imekufa kifo cha kufa na kuzikwa hakina members humu, na hivi punde wanachokifanya kina ndesamburo ni kuhakiki wanachama wa cdm walio hai kata nzima kuhamia chadema inawezekana ila ninachokijua na kukiamini mimi moshi kwa sasa hakuna gamba na kama lipo siku zake za kufa hazifiki 2015 katika uchaguzi wa wenyeviti wa vijiji na vitongoji 2014 vua gamba vaa gwanda.
Chama cha MSIMU
HIKI jamani mbona kinashika kasi hivi kadri siku
zinavyokwenda....lol...yaani kila siku nazidi kuamini kuwa utawala wa
ccm siku zake zinahesabika...naomba uvumilivu tu hadi huu mwaka
uishe...kuanzia 2014, JK akijichanganya tu, wananchi wakiingia road,
anang'ooka kablya 2015, wote tutakuwa tumebadilika....raha
kweli....
This is what we expect, CCM is now an opposition part in Moshi, Arusha Mwanza, Mbeya and even Songea
They better asks themselves where is KANU, Where is UPC, they better look also countries like Malawi, Zambia and Mozambique, It is on the way to follow them
This is what we expect, CCM is now an opposition part in Moshi, Arusha Mwanza, Mbeya and even Songea
They better asks themselves where is KANU, Where is UPC, they better look also countries like Malawi, Zambia and Mozambique, It is on the way to follow them
leo katika hali ya kushangaza na ambayo haijawahi kutokea tanzania chama cha demokrasia na maendeleo kupitia kamanda asiyechoka ndesa pesa kimefanya kufuru kwa kuchukua kata nzima ya kimochi kuanzia mwenyekiti wa ccm kata ndg Fransis M Ringo na wananchi wa kijiji kizima cha mdawi.
wananchi hao walichukizwa na kitendo cha aliyekuwa naibu meya ndg stewart lyatuu kuondoa mradi wa sh bil 3 wa maji uliokuwa umeletwa na wafadhili.
baada ya kushindwa uchaguzi wa udiwani katika kata na kuchukuliwa na diwani wa chadema ndg macha na mwenyekiti wa kijiji kupitia chadema ndg kinyaha ccm kupitia bw lyatuu na kundi lake waliwafungulia mashtaka diwani na mwenyekiti na kuandaaa mashahidi wa uongo.
leo kupitia mkutano ambao umehudhuriwa na meya wa moshi mh jafary michael,ndesamburo,lusy owenya,mh koyi,mh kiwelu,mh macha na madiwani wa viti maalum ccm imeondolewa rasmi katika kata ya kimochi kwa habari zaidi fuatilieni itv taarifa kesho.
picha pia zipo nitawarushieni kesho.