Chadema yabeza V4C ya CUF

Tanzania aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..Tanzania eeeeeeeeeeeeeeeeeeehh!
 
Mchaka mchaka wa CUF Unawachanganya CHADEMA, CUF hawawezi kuiga siasa za udini wa CHADEMA.
 
Haya bana. All the best CUF ila kuweni wabunifu badala ya kuiga vya wenzenu. Hawa wakianzisha operesheni Sangara na nyie mnaanzisha Zinduka; wakianzisha M4C na nyie V4C! Hamuwezi kubuni vyenu? Mna vichwa au nazi?
Wengi wao ni ma-copy and paste
 
Kwa tabia hii yakuiga kila kitu,tunakaribia kushuudia NDOA za JINSIA MOJA!!!!!!!!! mie napita zangu tu,ngoja niende zangu kwa kizota tabata nikale nguruwe na ndovu bariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiidi
 
Eti hao wapemba wakabomoe ngome ya CDM Arusha.Kituko! Wamuulize Pinda alifanywa nini Mwanza jana.
 
Hawa jamaa vipi, ndo kusema wameishiwa kabisa ubunifu ndani ya chama chao wakaamua kubadili M na kuiweka V katika operesheni zao
 
Hiki sasa ni kituko:

Part I
Chadema - Vua gamba, vaa gwanda
CCM - Vua gamba, vua gwanda, vaa uzalendo
CUF - Mchakamchaka mpaka Ikulu 2015

Part II
Chadema - Movement for Change (M4C)
CUF - Vision for Change (V4C)

Huku kudesa kwingine sasa ni balaaa. Mi nawasubiri CCM waje na Part II yao pia itakayoshabihiana na hizo hapo juu!

All in all, Chadema kwa sasa ndio wana-set trend, wengine wanaiga.
 
Haya bana. All the best CUF ila kuweni wabunifu badala ya kuiga vya wenzenu. Hawa wakianzisha operesheni Sangara na nyie mnaanzisha Zinduka; wakianzisha M4C na nyie V4C! Hamuwezi kubuni vyenu? Mna vichwa au nazi?

Wana nazi kama huyu mzuraji wetu...
 
Wananikumbusha enzi zile za kudesa onto...
 
Haya bana. All the best CUF ila kuweni wabunifu badala ya kuiga vya wenzenu. Hawa wakianzisha operesheni Sangara na nyie mnaanzisha Zinduka; wakianzisha M4C na nyie V4C! Hamuwezi kubuni vyenu? Mna vichwa au nazi?

NIMEIPENDA HII. Hawana jipya hao CUF
 
Si ndiyo kazi ya CCM mdau.........
 
Haya bana. All the best CUF ila kuweni wabunifu badala ya kuiga vya wenzenu. Hawa wakianzisha operesheni Sangara na nyie mnaanzisha Zinduka; wakianzisha M4C na nyie V4C! Hamuwezi kubuni vyenu? Mna vichwa au nazi?

ha ha ha ha that why naipenda jf jamani dah mbavu zangu.
 
Mtwmelwa ni nabii?kwamba akisema chochote ni wahyi?alafu mnajiita GT!!!
Nyinyi mliwachafua CUF mlitarajia wanyamaze!!!?
 
Can mendacity of this allegation obfuscate the trajectory of this projectile?? (Laloine)
May be/Never
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…