Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa Chadema kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.
Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango

Labda bunge la wachawi sio hili la tanzania nilijualo.nje wanaosubiria kuingia bungeni 2015 wako zaidi ya 100 hivi, mimi ni mmoja wao. Subiri uöne mkuu!
Wandugu tuwe makini wakati wa kuwachagua mawaziri vivuli angalau wawe na ujuzi wa cheo husika
Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa Chadema kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.
Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango
Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa Chadema kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.
Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango
Walanguzi ni wale wanaojichotea ruzuku ya chama na kuzigawana na mahawara zao.Ccm ni chama cha walanguzi na wachuuzi ndo maana wameanza kugawa mamilioni kule Arusha. Ccm kwa rushwa ni nooma!
Hiyo ni hotuba ya kambi ya upinzani,lengo ni kuhighlight weakness ya bajeti ya waziri SIO KUTOA MAJIBU...ITOE MAJIBU..ebo!!!Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa Chadema kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.
Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango
IPO makini kwa lipi?kama ni maneno matamu yameanza leo? acha unafiki na upambe kwa kusifia hata visivyopaswa kusifiwa.Leo hii takwimu zinakuambia nusu ya wilaya zote zinakabiliwa na tatizo la njaa,unakabiliwaje na njaa kama una sera nzuri na zinazomsaidia mkulima?Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa Chadema kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.
Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango
Mkurugenzi wa utekaji na uhasama wilfred lwakatare.aliye makini ni nani?
Hizi ni kauli za kigaidi hizi.wewe hata trekta moja huna utajuaje bei ya trekta zaidi kutumiwa vibaya hapa jf.Hivi nchi hii chini ya maccm kilimo kina matumaini ya kumkomboa mkulima kweli?
Angalia bei ya Trekta moja na ulinganishe na wakulima wangapi kwa uchache wanaomudu kununua au hata kukopa na kulipa kupitia kilimo.
CCM ni Janga ktk hili la kiliimo na mengineyo mengi.