Kazi ya Chadema ni kukosoa siyo kupigia makofi serikali ndo maana ya vyama vya ushindani/upinzani duniani kote. Kazi ya Serikali ni kuwaletea wananchi maendeleo kwa kutumia kodi za watanzania wote , wakiwepo wanachadema, na siyo kwa kutumia mishara yao. kukoselewa siyo kulaumiwa.
nje wanaosubiria kuingia bungeni 2015 wako zaidi ya 100 hivi, mimi ni mmoja wao. Subiri uöne mkuu!Hata profesa wao hamna kitu.Mawaziri wao vivuli hawajai hata mkononi. hv kweli wakipewa nchi wataweza kuongoza??