Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,091
- 8,243
Kama kuna kosa kubwa ambalo watanzania tungelijutia basi ni kumchagua Mrema kuwa raisi 1995, sijui hii nchi leo hii ingekuwa wapi. Kosa hilo tuliloliepuka 1995 tuliepuke tena mwaka huu, sioni mtu ndani ya UKAWA mwenye sifa stahiki kuliongoza taifa hili. Wote ni wasaka tonge tu. Mtu pekee mwenye uwezo wa kuongoza hii nchi kwa sasa ni SAS